Sunday, 13 September 2015

SALA YA BWANA

Baba yetu,uliye mbinguni, jina lako litukuzwe, ufalme wako uje, mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe Leo riziki yetu. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele.
AMINA..

14 comments: