IMANI YA MITUME
Namwamini Mungu Baba mwenyezi, muumba mbingu na nchi:
Na Yesu Kristo Mwana wake pekee, Bwana wetu, aliyechukuliwa mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, akazaliwa na bikira Mariamu, akateswa zamani za Pontio Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashuka mahali pa wafu; siku ya tatu akafufuka, akapaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba Mwenyezi, kutoka huko atakuja kuwahukumu walio hai na watu wafu.
Namwamini Roho Mtakatifu; na kanisa takatifu ya Waamini wote; na ushirika wa watakatifu; na ondoleo la dhambi; na kiyama ya mwili; na uzima wa milele.
AMINA.
Amina Amina.
ReplyDeleteAmina Amina.
ReplyDeleteAmina
ReplyDeleteAmin
DeleteAmina Amina
DeleteAMINA
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteAmina
ReplyDeleteAmina
ReplyDeleteAmina
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteAMINA.
ReplyDeleteamina
ReplyDeleteAmina
ReplyDeleteamina
ReplyDeleteAmina
ReplyDeleteAMEEEN
ReplyDeleteAmeeen
ReplyDeleteAmeen
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteAmina
ReplyDeleteAmina
DeleteAmina
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteAmen in Jesus's name
ReplyDeleteImani ya mitume uongozwa na pastor pekee ama na mtu yeyote
ReplyDelete