Sunday, 13 September 2015

IMANI YA MITUME

IMANI YA MITUME
Namwamini Mungu Baba mwenyezi, muumba mbingu na nchi:
Na Yesu Kristo Mwana wake pekee, Bwana wetu, aliyechukuliwa mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, akazaliwa na bikira Mariamu, akateswa zamani za Pontio Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashuka mahali pa wafu; siku ya tatu akafufuka, akapaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba  Mwenyezi, kutoka huko atakuja kuwahukumu walio hai na watu wafu.
Namwamini Roho Mtakatifu; na kanisa takatifu ya Waamini wote; na ushirika wa watakatifu; na ondoleo la  dhambi; na kiyama ya mwili; na uzima wa milele.
AMINA.

27 comments:

  1. Imani ya mitume uongozwa na pastor pekee ama na mtu yeyote

    ReplyDelete